PSRS
  • Home
  • ABOUT US
    • Secretary’s Desk
    • Organization Structure
    • Who are we?
  • Divisions
    • Administration & Human Resources Management
    • Information and Communication Technology
    • Recruitment Management
    • Quality Control
  • UNITS
    • Procurement Management
    • Government Communication
    • Internal Audit
    • Finance & Accounts
    • Legal Services
    • Planning, Monitoring & Evaluation
  • CONTACT
  • FEEDBACK
  • GALLERY
    • Video
    • Photo
  • PUBLIC INFO
    • Legislation
    • General Information
    • Hoja Za Wadau
  • ARCHIVE
  • Recruitment Portal
  • STAFF MAIL
  • LOSS REPORT
Advertisements

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA NZEGA 15-08-2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST) 12-08-2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 09-08-2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDAs NA LGAs 09-08-2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI 08-08-2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI 06-08-2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGWE 06-08-2025

Call for Interview

news TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) KAZI ZA MKATABA 18-08-2025

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MDAs NA WIZARA YA AFYA MAJINA YA NYONGEZA 08-08-2025

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA MAJINA YA NYONGEZA 31-07-2025

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA MAJINA YA NYONGEZA 23-07-2025

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 16-07-2025

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 15-07-2025

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 13-07-2025

Placements

news TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 16-08-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 13-08-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 12-08-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 12-08-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 12-08-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 11-08-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 11-08-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 05-08-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 05-08-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI KITUO CHA ZANA ZA KILIMO NA TEKNOLOJIA VIJIJINI (CAMARTEC) 01-08-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 30-07-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 29-07-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 25-07-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 25-07-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 25-07-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 23-07-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 21-07-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 21-07-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 19-07-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 18-07-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 05-05-2025

PSRS Journal

JARIDA TOLEO LA 2-AUGUST 2024 18-09-2024

Jarida - Januari 2024 15-02-2024

news

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw.Mick Kiliba akimkaribisha Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.George Simbachawene katika banda la ofisi hiyo viwanja vya Chinangali jijini Dodoma kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.

news

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Menejimenti ya Sekretarieti ya Ajira mara baada ya kufungua Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo mkoani Morogoro.Waziri Simbachawene aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe.Adam Malima (Wa pili kushoto waliokaa).

news

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akitoa taarifa ya kufanyika kwa usaili wa kada za ualimu nchi nzima kuanzia tarehe 14 Januari hadi tarehe 24 Februari,2025 ili kupata walimu bora kwa manufaa ya taifa.

news

Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw.Mick Kiliba (wa katikati) akifuatilia hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma.

news

Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw.Mick Kiliba pamoja na viongozi wengine wametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la ofisi hiyo jijini Dodoma.

news

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Bw.Mick Kiliba akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi hiyo walioshiriki mkutano wa 9 wa Mameneja wa Rasilimali watu Barani Afrika - Jijini Arusha

news

Watumishi wapya wa Kada za Afya wakichukua Barua zao za kuitwa kazini katika ofisi za Sekretarieti ya Ajira

news

Katibu Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw.Mick Lutechura Kiliba akipokea ripoti ya makabidhiano ya ofisi kutoka kwa Naibu Katibu Mhandisi.Samwel Tanguye.

news

Karibu Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Clement Sangu katika Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

news

Naibu Katibu Idara ya TEHAMA Mhandisi Samwel Tanguye akimpokea Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Clement Sangu alipotembelea Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma eneo la Asha Rose Migiro (UDOM) Jijini Dodoma ili kujitambulisha na kuona namna taasisi hii inavyofanya kazi.

news

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Clement Sangu akisalimiana na Kaimu Katibu Msaidizi Idara ya Ajira alipotembelea ofisi hizo jijini Dodoma

news

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Clement Sangu akiwa kwenye picha ya pamoja na Menejimenti ya Sekretarieti ya Ajira

news

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Clement Sangu akizungumza na Menejimenti ya Sekretarieti ya Ajira alipotembelea ofisi hiyo jijini Dodoma

news

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Bi.Lynn Chawala akitoa maelezo mafupi kwa Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla alipotembelea banda la Sekretarieti ya Ajira katika viwanja vya maonesho Maisara - Zanzibar

news

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Deogratius Ndejembi ametembelea banda la Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na kujionea huduma mbalimbali zinazotolewa kwa wadau katika Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

news

Mjumbe wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Abdi Faki (Wa nne kulia) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwenye Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam. Mjumbe huyo aliambatana na Mkuu wa Idara ya TEHAMA Mhandisi Samwel Tanguye katika kujionea namna huduma zinavyotolewa kwa wadau wanaotembelea banda la ofisi hiyo.

news

Wajumbe wa Kamati ya Ukaguzi ya Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wakiwa kwenye mafunzo Mkoani Morogoro.

news

Mkuu wa Idara ya TEHAMA Mhandisi Samwel Tanguye akifungua Kikao cha Mafunzo kwa Kamati ya Ukaguzi ya Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Mkoani Morogoro kwa niaba ya Kaimu Katibu wa Ofisi hiyo Bw.Innocent Bomani

news

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora Bw.Xavier Daudi akisaini kitabu cha Wageni katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma jijini Dodoma

news

Dondoo muhimu kuhusu mfumo wa usaili kidigitali

news

Msailiwa akiwa kwenye usaili wa Vitendo Kada ya Marine Engineer II wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) jijini Mwanza

news

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akiwa kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa baraza la Wafanyakazi wa Sekretarieti ya Ajira mjini Morogoro

news

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.George Simbachawene akitoa hotuba yake mbele ya Baraza la Wafanyakazi wa Sekretarieti ya Ajira katika ukumbi wa Mzinga mjini Morogoro

news

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akizungumza na wadau kwenye kikao kazi kuhusu mfumo wa usaili kidigitali jijini Dodoma

news

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akiwa kwenye picha ya pamoja na Menejimenti ya Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

news

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

news

Mkuu wa Idara ya TEHAMA Mhandisi Samwel Tanguye akizungumza kwenye kikao kazi cha kutambulisha mfumo mpya wa usaili kidigitali

news

Wasailiwa wakiwa kwenye usaili wa vitendo kada ya Fundi Sanifu Mifumo ya Maji II

news

Wasailiwa wakiwa kwenye usaili wa vitendo kada ya Autoelectrical

news

Wasailiwa wakiwa kwenye usaili wa Vitendo kada ya Mpishi

news

Msailiwa akiwa katika usaili wa vitendo uliohusisha kuchomelea vyuma

news

Msailiwa akiwa kwenye usaili wa vitendo wa Kada ya Mechanical

news

Msailiwa akiwa kwenye usaili wa vitendo wa kuendesha mitambo

news

Msailiwa akiwa kwenye usaili wa Vitendo uliohusisha kuunganisha vitanda vya hospitali

news

Msailiwa akiwa kwenye usaili wa Vitendo wa kupaka rangi vifaa

news

Wadau wakitoa maoni na mahitaji ya mfumo wa Kieletroniki wa kufanya Usaili wa kuandika (Online Aptitude Teste System) katika Ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii Dar es Salaam

Visitors

Online
Today
This Week
This Month
All days

Useful Links

  • Ofisi ya Rais-Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • Government Portal
  • NIDA
  • NECTA
  • NACTE
  • TCU

Contacts

    • President's Office,
    • Public Service Recruitment Secretariat,
    • P.O. BOX 2320,
    • Dodoma.
    • [email protected]
    • +255 (26) 2963652

Office Location

© 2025 PO-PSRS. All Rights Reserved

Loss Report Information
Loss Report Information
ADVERTISEMENTS ARCHIVE